
Simba, Yanga kukipiga tena Oktoba 19, 2024
Wakati ukiendelea kutafakari matokeo ya Derby ya Kariakoo iliyopigwa jana kwa Simba kulala kwa bao 1-0 mbele ya watani zao Yanga, timu hizo mbili zitakutana tena Oktoba 19, mwaka huu kwenye mechi ya Ligi Kuu. Mchezo huo utakuwa wa duru ya nane ya ligi ambapo Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga na katika ratiba ya awali…