Maxi aiua Simba Kwa Mkapa, yaifuata Azam fainali Ngao

YANGA wameendeleza ubabe wao kwa Simba baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali  ya Ngao ya Jamii uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mchezo huo uliokuwa na amshaamsha nyingi mwanzo hadi mwisho, Maxi Nzengeli ndiye aliyepeleka kilio Msimbazi kwa bao lake dakika ya 44 kipindi cha kwanza. Mchezo…

Read More

Dabo apotezea ushindi, aelekeza nguvu fainali

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema licha ya timu hiyo kupata ushindi mnono wa mabao 5-2, dhidi ya Coastal Union ila amesahau matokeo hayo, na nguvu kwa sasa anazielekeza mechi ya fainali Jumapili. Kauli ya Dabo inajiri baada ya timu hiyo kutinga fainali ya Ngao ya Jamii na sasa inasubiri mshindi kati ya…

Read More

Ouma aingiwa na ubaridi,  aomba muda zaidi Coastal

KOCHA Mkuu wa Coastal Union Mkenya, David Ouma amesema kichapo cha mabao 5-2, ambacho timu hiyo imekipata dhidi ya Azam FC hakijawatoa katika mstari huku akiweka wazi anahitaji muda zaidi wa kutengeneza timu imara. Ouma amekumbana na kichapo hicho katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii, iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex…

Read More

Gamondi, Fadlu wajilipua  | Mwanaspoti

MAKOCHA wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids wameamua kujilipua kwa kupanga vikosi vyenye wachezaji wenye sifa za kushambulia zaidi katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii unaochezwa  usiku huu wa leo Alhamisi kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa. Kama ambavyo walisema siku moja kabla (Jumatano) katika mkutano wa wanahabari, kila mmoja…

Read More

Camara aanza na jezi ya Manula Kwa Mkapa

KOCHA Miguel Gamondi ameanza na kikosi chenye sura tatu mpya tofauti, huku kocha wa Simba Fadlu Davids akiwa na nyota sita kati ya 13 waliosajiliwa hivi karibuni, lakini sapraizi ni kipa Moussa Camara akikadhibiwa jezi namba 28 iliyokuwa ikitumiwa na kipa namba moja wa timu hiyo Aishi Manula. Manula aliyesahaulika katika utambulisho wa kikosi hicho…

Read More