
Visura 13 kuwania taji la Miss Ilala 2024
WAREMBO 13 wanatarajiwa kuonyeshana kazi wakati wa shindano la kuwania taji la Miss Ilala 2024, litakalofanyika Agosti 16 kwenye Ukumbi wa Warehouse, Masaki huku wakipania kufanya vizuri na kufuata nyayo za watangulizi wao katika fainali za taifa, Miss Tanzania. Tayari warembo hao wameingia kambini, kujiandaa na shindano hilo, huku washindi, pamoja na zawadi nyingine wataingia…