
JKU yawalainishia Waarabu CAF | Mwanaspoti
WAKATI Yanga ikipata mtelezo kutoka kwa Vital’O ya Burundi iliyoamua mechi za nyumbani ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024-2025 kucheza Dar es Salaam, JKU ya Zanzibar nayo imewalainishia wapinzani wao Waarabu wa Misri, Pyramids. Ipo hivi. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) na wawakilishi wa visiwa hivyo katika Ligi ya Mabingwa Afrika,…