
Uamuzi kesi ya Magoma, Yanga wakwama
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeshindwa kutoa uamuzi wa shauri la maombi ya marejeo ya uamuzi uliobatilisha Katiba ya Klabu ya Dar es Salaam, Young African Sports, maarufu Yanga ya mwaka 2011. Uamuzi huo ulipangwa kutolewa na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Hakimu Mkazi Mkuu, Frank Kiswaga leo Jumatano,…