
Kibu Denis aandaliwa programu maalum Simba SC
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema kuwa mshambuliaji Kibu Denis bado hajafikia katika ubora anaouhitaji hivyo amemuandalia programu maalum ya mazoezi. Davids amefunguka hayo siku chache baada ya kumchezesha mchezaji huyo dakika chache kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya APR timu hiyo ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0. Alisema Kibu ni mchezaji…