
Fadlu aandaa Sapraizi Simba | Mwanaspoti
WAKATI joto la dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda, kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davies ameandaa sapraizi katika kikosi chake kabla ya kuivaa Yanga Alhamisi, Agosti 8, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mwanaspoti linajua baada ya Simba kumaliza tamasha la Simba Day lililofanyika Jumamosi iliyopita kocha huyo alitoa mapumziko kwa kikosi hicho huku akiwasihi wachezaji kuangalia…