
Kazi inaendelea viwanja vya Leisure Lodge
AKIWA na matumaini makubwa ya kufanya vizuri, mchezaji Vicky Elias anaiongoza timu ya Watanzania kushinda mashindano ya mfululizo wa viwanja vitano ya Coastal Open ambayo yanaanza asubuhi hii katika viwanja vya Leisure Lodge, Mombasa, Kenya. Elias ambaye anatoka klabu ya TPDF Lugalo ya jijini Dar es Salaam, ameiambia Mwanaspoti kutoka Mombasa kwamba yete na wenzake…