Kipa Simba ajipeleka Dodoma Jiji
BAADA ya Simba kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa kipa wa timu hiyo, Ally Salim inadaiwa Dodoma Jiji ilikuwa katika hatua ya mwisho ya kumbeba, japo JKT Tanzania nayo ilikuwa ikimpigia hesabu kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili usiku wa jana. Kipa huyo aliyekuwa akisubiri mbele ya Aisha Manula, kisha Moussa Camara msimu uliopita alikuwa…