
Shughuli imekwisha, tukutane ‘Nane Nane’
UKISIKIA funga kazi, basi ilikuwa jana wakati Yanga ilipohitimisha Kilele cha Wiki ya Mwananchi, saa 24 tu tangu Simba kufanya tamasha la Simba Day na kutambilisha mashine mpya za msimu wa 2024-2025m, huku mashabiki wa timu hiyo baada ya kuona vikosi vyote kutamba wakisema ‘Tukutane Nane Nane’. Simba na Yanga zinatarajiwa kuvaana Alhamisi hii kwenye…