Diarra apewa mitatu Yanga | Mwanaspoti

KIPA wa Yanga, Djigui Diarra amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho hadi mwaka 2027. Hatua hiyo imejiri katika utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi la kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao ambapo Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said alitangaza kumuongezea mkataba mpya nyota huyo. Diarra alijiunga na kikosi…

Read More

Makamu wa Rais aipongeza Yanga kwa kufunika

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, amehudhuria kilele cha tamasha la ‘Wiki ya Mwananchi’, akiwa ndiye mgeni rasmi na kuipongeza Yanga kwa kufunika kwa tamasha hilo la Wiki ya Mwananchi. Wakati wa utambulisho wa wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao, washereheshaji wa tamasha hilo, Zembwela na Maulid Kitenge walimtangaza Mpango kuwa…

Read More

Haji Manara atua na Zaylissa, aamsha vaibu kwa Mkapa

MSEMAJI wa Yanga, Haji Manara ameibua shangwe kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya kuhudhuria tamasha la ‘Wiki ya Mwananchi’ akiwa na Mke wake, Zaylissa. Manara ametua uwanjani hapo ikiwa ni siku chache tangu amalize kifungo cha miaka miwili cha kutojihusisha na masuala mbalimbali ya michezo ndani na nje ya nchi. Wakati wa kuingia uwanjani…

Read More

Mtoto wa Manji atua kwa Mkapa

UNAWEZA kusema mtoto wa nyoka hazai kuku, kwani mtoto wa aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa Yanga, Mehboub Manji ametua Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia Tamasha la Wiki ya Mwananchi. Mehboub ametua uwanjani hapo kimyakimya katika tamasha hilo la sita la Yanga ikiwa ni mara ya kwanza tangu baba yake alipofariki dunia Juni 29, akiwa Marekani….

Read More

Mastaa Yanga wamsha shangwe wakitinga Kwa Mkapa

KIKOSI cha Yanga kimetinga ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, kikiwa kimevaa simpo tu, tofauti na miaka ya nyuma lakini kikiamsha shangwe kwa mashabiki walioujaza uwanja huo katika Tamasha la Wiki la Mwananchi.  Timu hiyo imewasili Uwanja wa Mkapa saa 12:09 Jioni ikiwa na msafara wa magari matatu tu likiwemo basi lao kubwa na pikipiki…

Read More

Konde Boy aliamsha kwa Mkapa

NYOTA wa muziki wa Bongo Felva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ a.k.a Konde Boy amewapagawisha mashabiki wa timu hiyo wakati wa kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ kilichofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Konde Boy aliingia uwanjani hapo kwa ajili ya kutoa burudani kwa mashabiki wa timu hiyo huku akianza kuimba wimbo wa ‘Yanga Hii Unaifungaje’. Wimbo huo…

Read More

DJ Ally B akiwasha kwa Mkapa

DJ maarufu nchini, Ally Suleiman Simba ‘DJ Ally B’, amegeuka msanii wa muda mfupi, nje na kazi yake ameamua kuimba nyimbo mbalimbali za wakongwe. DJ huyo alikuwa anapiga nyimbo na kuimba ambapo alifanya shangwe za mashabiki zilipuke katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika tamasha la kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’. Ally B, alikuwa anazima muziki…

Read More

Mboto kama Mourinho | Mwanaspoti

MSANII wa vichekesho,  Mboto amejigeuza Jose Mourinho wakati akiiongoza timu ya masupastaa wanaoishabiki Yanga akiwa kama kocha amefanya kituko cha kuamua kuingia uwanjani kumfokea straika baada ya kukosa bao. Timu hiyo inacheza dhidi ya Maveterani Yanga ambapo timu hiyo ikiwa nyuma kwa mabao 2-1 aliona isiwe tabu kwa kuamua kuingia uwanjani baada ya mshambuliaji mmoja…

Read More

Mario asapraizi mashabiki kwa pikipiki

MSANII wa Bongo Fleva, Omary Ally Mwanga ‘Marioo’ amewafanyia sapraizi mashabiki wa Yanga kutokana na aina  ya uingiaji wake Uwanja wa Benjamin Mkapa kutumbuiza sherehe za kilele cha Wiki ya Mwananchi. Kabla ya msanii huyo kuingia yalianza kupigwa mafakati juu, walifuatilia waendesha bodaboda waliozunguka uwanja akiwamo naye akiendesha yake, jambo ambalo lilifanya mashabiki kupata vaibu…

Read More