Meja Kunta aliamsha kwa Mkapa

MWIMBAJI wa singeli nchini, Meja Kunta ameingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ huku akiimba wimbo maalumu wa timu hiyo unaojulikana kwa jina la Mwananchi aliomshirikisha Billnass. Wimbo huo uliamsha shangwe kwa mashabiki waliohudhuria tamasha hilo ambalo walianza kuimba na kucheza kwa pamoja. Mbali na wimbo huo ila Meja Kunta…

Read More

BillNass aingia kitofauti kwa Mkapa 

MSANII wa kizazi kipya ‘BillNass’ atua kivingine katika uwanja wa Benjamin Mkapa huku akitoa burudani ili washangaza mashabiki. Staa huyo alitua na kikundi chake kikiwa kimebeba vitu vilivyoonekana kama Ungo kumbe ni picha za wachezaji wa Yanga. Huyu ni msanii wa pili kuliamsha katika siku hii ya Wananchi, baada ya kutoka Christian Bella, ambaye nae…

Read More

Yanga noma, yatawala kila kona

YANGA imeendelea kufanya vizuri kila kona baada ya kikosi hicho cha Maveterani kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Wasanii, katika mchezo wa utangulizi kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi. Hizi zote ni shamra shamra za kuchangamsha siku ya Wananchi, huku mechi hiyo ikiwaacha mashabiki na vicheko maana licha ya ushindani mkubwa…

Read More

Mwananchi Day 2024… Nyie hamuogopi!

NDIYO kaulimbiu iliyoko mtaani leo katika siku ambayo Yanga wana pati lao la Mwananchi Day kwenye Uwanja wa Mkapa. Wanatamba kikosi chao ni bandika bandua hasa kutokana na mastaa wazoefu waliowaongeza kutoka katika baadhi ya washindani wao ikiwemo Simba na Azam. Shoo ya leo inafanyika saa 24 tu, tangu Simba nao wafanye pati lao la…

Read More

Picha zingine Kutoka kwa Mkapa DSM, ‘Yanga Day’

NI Agosti 4,2024 ambapo Mashabiki wa klabu ya Yanga SC wamejitokeza kwenye siku ya Mwananchi katika Uwanja wa Taifa ‘Benjamin Mkapa’ Dar es Salaam. Katika siku hii maalumu ya Wana Yanga wataweza kuwashuhudia wachezaji wapya waliosajiliwa katika klabu hiyo. Hizi ni baadhi ya picha unaweza ukazitazama kufahamu kile kilichojiri. . . . . . ….

Read More

Hao Prisons mikwara mingi | Mwanaspoti

WAKATI Tanzania Prisons ikihitimisha kambi yake Dar es Salaam na kurejesha nyota wake wawili, benchi la ufundi na uongozi umetambia kikosi chake wakiahidi msimu ujao kucheza kimataifa. Wajelajela hao waliweka kambi yao Dar es Salaam kwa takribani mwezi mmoja na leo Jumatatu watakuwa nyumbani jijini Mbeya kwa maandalizi ya mwisho ya Ligi Kuu inayotarajia kuanza…

Read More

Kumekucha Climate Change Marathon 2024

MSIMU wa tatu wa mbio za mabadiliko ya Tabia Nchi kwa mwaka 2024, Climate Change Marathon 2024 zinatarajiwa kufanyika wilayani Pangani kwa mara ya  kwanza zikihusisha washiriki kutoka ndani na nje ya Tanzania zikilenga kukusanya fedha zitakazotumika kugawa majiko ya gesi ya kupikia kwa wanawake. Wanufaika katika mbio hizo ambao ni wanawake kutoka katika wilaya…

Read More

Tanzania sasa mtazamaji mbio za magari Afrika

KWA mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miongo miwili, Tanzania imeshindwa kuandaa raundi ya nne ya mbio za magari ya ubingwa wa Afrika  na ukata umetajwa kuwa ndiyo sababu kuu. Kwa mujibu wa kalenda ya Chama cha Mbio za Magari cha Dunia (FIA), Tanzania ilikuwa iandae raundi ya nne Agosti 23-25 mwaka huu,…

Read More