
Mtanzania uso kwa uso na Mzambia usiku wa vitasa
MJI wa Kyela utasimama kwa muda kupisha usiku wa ngumi pale mabondia 18 wakiwamo Joseph Mwaigwisya (Tanzania) na Mbachi Kaonga raia wa Zambia watakapozichapa Agosti 8 katika ukumbi wa Unenamwa uliopo mjini humo. Mabondia hao kila mmoja anajivunia rekodi zake za ndani na nje na kufanya shauku kuwa kubwa kwa wapenzi wa ndondi na Mwaigwisya…