
WMA YAELEZA MCHANGO WAKE KATIKA SEKTA YA KILIMO
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Wakala wa Vipimo (WMA), Veronica Simba akitoa elimu kuhusu matumizi ya vipimo sahihi katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo NaneNane (2024) yanaoendelea jijini Dodoma. Afisa Vipimo Mwandamizi kutoka Wakala wa Vipimo (WMA) akitoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhakiki dira za maji katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo Nanenane (2024) yanayoendelea…