
Simba yataja wapya 30, Mwenda, Lawi wakosekana
SIMBA imetambulisha kikosi cha wa wachezaji 30 kwa ajili ya msimu 2024/25 huku majina ya Lameck Lawi na Israel Mwenda yakikosekana. Simba walimtambulisha Lawi kama mchezaji waliyemsajili akitokea Coastal Union, lakini uongozi wa timu ya beki huyo ulikanusha na kuweka wazi kuwa bado ni mchezaji wao. Baada ya timu hizo kung’ang’aniana, Simba ilipeleka malalamiko Kamati…