
Simba Day 2024, wazee Simba wafunguka
SIMBA Day inayofanyika kesho itakuwa ni la 16, tangu tamasha hilo lianzishwe 2009, chini ya uongozi wa Hassan Dalali ‘Field Marshal’ na Mwina Kaduguda. Katika msimu mpya wa Simba Day yenye kauli mbiu ya Ubaya Ubwela, Mwanaspoti, limefanya mahojiano na wazee na viongozi wa zamani wa klabu hiyo akiwemo Dalali na kikubwa zaidi wameupongeza uongozi…