
Yanga yatawala tuzo Ligi Kuu, yatoa onyo
Dar es Salaam. Yanga imetawala tuzo zilizotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana, huku ikiahidi kuchukua zote msimu ujao. Tuzo hizo kwa ajili ya wachezaji na makocha waliofanya vizuri msimu uliopita zilitolewa kwenye Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, huku Aziz Ki akizoa tatu. Aziz Ki alionekana kutakata kwenye tuzo hiyo…