Matola aulizwa maswali mazito, Mnyama akipasuka kwa Azam FC
Mechi bora ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam na Azam kumaliza ubabe wa Simba kwa kuichapa mabao 2-0. Huu ulikuwa mchezo muhimu kwa timu zote kuhakikisha zinajiweka kwenye mazingira mazuri kwenye Ligi Kuu lakini pamoja na kosakosa za kila mara bado timu zote zilishindwa kutikisa nyavu katika…