Zambia ndio basi tena CHAN 2024

ZAMBIA imekuwa timu ya tatu kuaga michuano ya CHAN 2024 baada ya jioni kupoteza mechi ya tatu ya Kundi A kwa kufungwa mabao 3-1 na Morocco. Ushindi huo wa Morocco umepatikana jijini Nairobi na kuifanya ifikishe pointi sita, huku Zambia ikiwa haina pointi yoyote. Zambia imezifuata Nigeria na Afrika ya Kati zilizoaga michuano kutoka Kundi…

Read More

Wanaotaka kumrithi Ndugai yumo Injinia Hersi

Dodoma. Baadhi ya majina ya wanachama 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa kufuatia kifo cha aliyekuwa hayati Job Ndugai, yameanza kufahamika, likiwamo la Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said. Fomu za kuomba kugombea ubunge zilichukuliwa na kurudishwa juzi baada ya CCM kutangaza…

Read More

Ceasiaa Queens yabeba kiungo jeshini

BAADA ya kukamilisha usajili wa Wakenya wawili, Ceasiaa Queens inaendelea kushusha vifaa na safari hii imemalizana na kiungo mshambuliaji Halima Mwaigomole kutoka Mashujaa Queens. Timu hiyo ilimaliza nafasi ya sita msimu uliopita katika mechi 18, ikishinda sita, sare tatu na kupoteza mechi tisa, ikifunga mabao 25 na kuruhusu 37, ikikusanya pointi 21. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More

Fei Toto kaamua vyema, anastahili pongezi

TETESI nyingi sana zilitolewa kuhusu kiungo wa soka, Feisal Salum Abdallah ambaye hapa kijiweni na maeneo mengi Tanzania tumezoea kumuita Fei Toto na kule Zanzibar wanamuita Failasufi. Kuna kipindi watoa tetesi walituaminisha dogo anaondoka pale kwa wauza aiskrimu na kurejea timu aliyoichezea kabla ya kutua Chamazi kwa maana ya Yanga na kila kitu kipo freshi…

Read More

Tumejiangusha, tumeiangusha nchi CHAN | Mwanaspoti

KWA sasa hapa kijiweni tunaona hadi aibu kuzungumzia fainali za CHAN 2024 maana Watanzania tumeamua kuiangusha nchi yetu kwa kutojitokeza viwanjani kutazama mechi. CAF walipotupa vituo viwili vya mashindano hayo kwa maana ya Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na New Amaan Complex kwa Zanzibar walikuwa na sababu moja ya msingi. Sababu hiyo…

Read More

Tanzania Prisons yaanza na mshambuliaji

BAADA ya uongozi wa maafande wa Tanzania Prisons kukamilisha dili la kocha, Mkenya Zedekiah ‘Zico’ Otieno, tayari harakati za usajili zimeanza na kwa sasa timu hiyo imeanza na mshambuliaji wa kati. Miongoni mwa mshambuliaji anayekaribia kujiunga na kikosi hicho ni Lucas Sendama ambaye msimu wa 2024-2025, aliichezea Stand United ‘Chama la Wana’, ambayo imempa mkataba…

Read More

Azam FC yasaka mrithi wa Mustafa

KUNA taarifa zimeelezwa Azam FC ina mpango wa kuachana na kipa wake Mohamed Mustafa aliyemaliza msimu uliyopita akiwa na cleansheets 10 na ipo katika mchakato wa kusaka mbadala wake. Kwa mara ya kwanza Mustafa alijiunga na Azam Februari 7, 2024 akitokea klabu ya El Mereikh ya Sudan, lakini baada ya kufanya mazoezi chini ya kocha…

Read More

Mahakama yaanza kusikiliza shauri la kupinga uchaguzi wa TFF

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeanza kusikiliza shauri la uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), unaotarajiwa kufanyika Keshokutwa Jumamosi, Agosti 16, 2025. ‎Uchaguzi huo umepangwa kufanyika tarehe hiyo mjini Tanga kwa ajili ya kupata rais wa shirikisho hilo, madai inayowaniwa na rais anayemaliza muda wake, akiwa ni mgombea pekee,…

Read More

Mrithi wa Anthony Mligo huyu hapa

UONGOZI wa Namungo FC, uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya beki wa kushoto wa kikosi cha KVZ ya visiwani Zanzibar, Ally Saleh Machupa ‘Machupa JR’, ili kuziba nafasi iliyoachwa na nyota mwenzake, Anthony Mligo aliyejiunga na Simba. Mligo aliongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kukitumikia kikosi hicho cha ‘Wauaji wa Kusini’, japo baada ya…

Read More