WASHINDI WA TUZO ZA TFF 2024 HAWA HAPA

  Ley Matampi (Coastal Union) – Kipa Bora Ligi Kuu Wanaume Tanzania bara. Djigui Diarra (Yanga SC) – Golikipa bora Kombe la Shirikisho la CRDB Caroline (Simba Queens) – Golikipa bora wa Ligi Kuu ya Wanawake. Azizi Ki (Yanga SC) – Mfungaji bora Ligi kuu Wanaume Tanzania bara (Magoli – 21). Clement Mzize (Yanga SC)…

Read More

Straika Simba atoroka kambini | Mwanaspoti

WAKATI Simba Queens ikiwa kambini Bunju jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa wanawake inaotarajiwa kuanza katikati ya mwezi huu, straika wa timu hiyo, Aisha Mnunka hayuko na timu. Michuano ya CECAFA kwa msimu huu itafanyika Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Agosti 17 hadi…

Read More

Yanga hii… Tabu iko pale pale

YANGA imesharejea nchini kutoka Afrika Kusini ilipoenda kuweka kambi ya siku 10, ikicheza mechi  tatu za kimataifa za kurafiki, ikuiwamo kubeba ubingwa wa Kombe la Toyota, huku mastaa wapya wakimpa kiburi kocha Miguel Gamondi. Katika mechi hizo tatu dhidi ya FC Augsburg ya Ujerumani, TS Galaxy na Kazier Chiefs za Afrika Kusini, kocha Gamondi alionyesha…

Read More

Baiskeli kuliamsha Twenda Butiama | Mwanaspoti

MSIMU mpya wa kampeni ya Twende Butiama, umezinduliwa jijini Dar es Salaam huku, ikielezwa kwamba msafara wa baiskeli wenye lengo la kumuenzi na kuonyesha historia ya Baba wa Taifa, Mwl JK Nyerere utaamsha kampeni hizo za kila mwaka. Kampeni hiyo inaendehswa na Kampuni ya Vodacom na msafara wa baiskeli utakuwa ni wa wiki mbili kuanzia…

Read More

Washindi CRDB Marathon kuvuna mamilioni

WASHINDI wa Mbio za CRDB Bank Marathon 2024 zilizopangwa kufanyika Agosti 18 jijini Dar es Salaam, watazawadiwa jumla ya Sh 98.3 millioni. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CRDB, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa alisema wameamua kuweza zawadi nono kwa washindi kutokana na kutambua thamani ya washiriki na hadhi ya…

Read More

Alikiba: Nipo tayari kwa shoo ya viwango

KWA mara nyingine tena, mabibi na mabwana, wavulana kwa wasichana, mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ ndiye atakuwa kinara wa utoaji burudani katika tamasha la Simba Day, Agosti 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa huku mwenyewe akifunguka juu ya hilo. Julai 24, akiwa Morogoro, Alikiba alitangazwa kama mtumbuizaji mkuu katika…

Read More

Makocha 17 wapewa mafunzo kikapu

MAKOCHA 17 wa mchezo wa kikapu nchini wanashiriki katika mafunzo ya mchezo huo, yanayoendelea katika kituo cha michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMKYP). Mafunzo hayo yanayomalizika kesho Jumamosi, yameandaliwa na shirikisho la mchezo huo nchini (TBF) kupitia kamisheni ya makocha. Akiongea na Mwanaspoti katika viwanja vya JMKYP, kamishina wa makocha wa TBF, Robert Manyerere alisema…

Read More

Risasi yafunika Shinyanga | Mwanaspoti

RISASI imekuwa kinara kwenye msimamo wa mashindano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Mkoa wa Shinyanga ikizikimbiza timu nyingine kwa kuwa na pointi tisa. Ligi hiyo ambayo imeanza mzunguko wa pili, Risasi inafuatiwa na Kahama Sixers yenye pointi saba, huku B4 Mwadui ikiwa na sita na Veta tano. Kwa mujibu wa Kamishina wa ufundi…

Read More