Ligi ya BDL yafikia patamu

WAKATI Ligi ya Mpira wa kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikiendelea Uwanja wa Donbosco Oysterbay, imeonyesha timu 16 zinazoshiriki ligi hiyo zimeanza kujigawa katika makundi matatu. Makundi hayo ni ya timu zinazowania kucheza hatua ya nane bora, zinazopambana kubaki kwenye ligi na zinazojinusuru zisishuke daraja. Timu tisa zinawania kucheza hatua ya nane…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Simba isilaumiwe kumkosa Elie Mpanzu

SIMBA ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari wa AS Vita, Elie Mpanzu lakini kuna wakati jitihada huwa hazizai matunda na ndicho kimetokea kwao. Walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kumshawishi mchezaji ajiunge nao kwa kumpa ahadi ya masilahi mazuri na mchezaji akatamani kuwa sehemu ya kikosi chao. Shida ikaja kwa AS Vita ambayo ilionyesha kubadilika badilika…

Read More

Feitoto afunguka alichozungumza na kocha Mokwena wa Wydad

KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema alikuwa na wakati mzuri na kocha wa Wydad Casablanca, Rhulani Mokwena ambaye amempa mbinu za kuendelea kuwa bora. Kiungo huyo amesema amepata nafasi ya kuzungumza na kocha huyo muda mchache baada ya timu yake kupokea kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Wydad Casablanca. “Mara baada…

Read More

Simba Songea wachangia damu | Mwanaspoti

WANACHAMA na wapenzi wa Simba wamejitokeza kutoa damu units 17 katika Hospitali ya Rufaa ya Songea (HOMSO) kwa ajili ya kusaidia watoto 85 wa umri wa chini ya miaka mitano wa mkoa wa Ruvuma. Wanachama hao wamejitokeza kwa wingi Julai 30, 2024 ikiwa ni wiki ya Kilele cha Simba Day 2024 ambapo wamekuwa wakichangia damu…

Read More

Simba mpya ya rekodi 4 tamuu!

SIKU hazigandi. Kama utani umefikia muda wa Simba kuadhimisha siku yao. Ndio, Wazee wa Kimataifa, Simba wanajiandaa kuadhimisha siku maalumu kwa klabu hiyo maarufu kama Simba Day. Hii ni Simba ya rekodi. Msimu huu pati limerudi tena mwezi wa nane, lakini likifanyika Agosti 3. Tamasha hilo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa kikosi na…

Read More

Ahmed Ally amaliza utata wa Dulla Makabila Simba Day

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amemaliza utata juu ya  msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila kuhusu kutumbuiza katika Tamasha la Simba Day, Jumamosi, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Ahmed Ally ameliambia Mwanaspoti, mashabiki wa Simba watulie kwani klabu hiyo haikumtangaza Dulla  atatumbuiza siku hiyo na hata akiwemo kwenye orodha…

Read More

Feitoto afunguka madini aliyopewa na kocha Wydad Rhulan

KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema alikuwa na wakati mzuri na kocha wa Wydad Casablanca, Rhulani Mokwena ambaye amempa mbinu za kuendelea kuwa bora. Kiungo huyo amesema amepata nafasi ya kuzungumza na kocha huyo muda mchache baada ya timu yake kupokea kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Wydad Casablanca. “Mara baada…

Read More

Yanga yashtuka kwa Maxi | Mwanaspoti

ULIMUANGALIA Maxi Nzengeli kwenye mechi zake tatu za kirafiki za Sauzi? Mabosi wa Yanga wameshtukia jambo na kumuita mezani kuanza mazungumzo mapya ya mkataba mpya. Maxi atakapoanza msimu ujao ndio utakuwa mwaka wa mwisho wa mkataba wake wa miaka miwili na Yanga aliousaini akitokea Union Maniema ya DR Congo. Kwenye mechi tatu za kirafiki kiungo…

Read More

Watanzania wapania kuiteka gofu Mombasa

WACHEZAJI watano wa gofu kutoka Tanzania, wanatarajia kuondoka nchini mwishoni mwa juma kwenda kushiriki michuano ya wanawake iliyoandaliwa na Chama cha Gofu ya Wanawake Kenya (Kenya Ladies Golf Union), kuanzia Jumatatu, Agosti 5. Mashindano hayo yanayoshirikisha wacheza gofu wa kike kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwakilisha Kenya, Uganda na Tanzania na yatafanyika katika…

Read More