
Kisa migogoro, chaneta yapigwa pini kimataifa
SERIKALI imekipa kibarua Chama cha Mchezo wa Netiboli nchini (Chaneta) kutatua migogoro yao ya ndani sambamba na kufanya uchaguzi mzuri wa wachezaji wa timu ya Taifa kwa kufuata haki. Ilisema kwa kufanya hivyo, Chaneta itapata nafasi ya kuruhusiwa kushiriki michuano mbalimbali ya kimataifa na kufadhiliwa na serikali, pia itawapatia wadhamini wa kudumu wa kusapoti mchezo…