
SPOTI DOKTA: Kimbia ukate mafuta mwilini
KUMEKUWAPO na matukio mbalimbali ya mbio za hisani, ambayo yamekuwa yakitumika kuhamasisha mazoezi kama nyen-zo ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza maarufu kitabibu kama NCD. Katika mbio nyingi viongozi wa serikali, wakuu wa taasisi mbalimbali toka serikalini na binafsi wamekuwa wakionyesha mfano wa umuhimu wa mazoezi kwa jamii ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Mwanaspoti Dokta ikiwa…