
Yanga kuna kazi, Gamondi akuna kichwa
NDANI ya Yanga kuna kazi kwelikweli. Unaweza kusema Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Miguel Gamondi ni kama yupo katika wakati mgumu akikuna kichwa namna ya kupanga kikosi chake cha kazi, lakini upande mwingine, mastaa wa timu hiyo wanabaki tumbo joto kupambania namba zao. Hiyo inatokana na namna usajili wao ulivyofanyika kipindi hiki cha dirisha kubwa…