
MWISHO MBAYA: Mbappe, PSG wanavyotafuta kuumizana
PARIS, UFARANSA: WIKI kadhaa zilizopita, kulikuwa na stori ya Kylian Mbappe kutaka kuishtaki Paris Saint-Germain (PSG) kwa kutomlipa baadhi ya mishahara yake ambapo mama yake alithibitisha. Timu ya wanasheria wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa iko tayari kuwasilisha kesi mahakamani dhidi ya mabingwa hao wa Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1), kwa kudai kwamba mishahara…