
Ng’ombe 20 wa supu kuchinjwa Jangwani
UONGOZI wa Yanga unatarajia kuchinja ng’ombe 20 kwa ajili ya kugawa supu kwa mashabiki wa timu hiyo kabla ya tamasha la Wiki ya Mwananchi, Agosti 4 mwaka huu. Hayo yamesemwa na Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi ambapo ametaja matukio manne watakayoyafanya kabla ya tamasha hilo. Kamwe amesema…