
Kutoka kambi ya Azam FC… Mchezaji mpya aikataa namba ya mikosi
ILITOKEA kule Zanzibar pale Azam FC ilipomtambulisha Franklin Navarro kwenye dirisha dogo. Mchezaji huyo aliikataa jezi aliyotambulishwa nayo na ikabidi abadilishiwe haraka sana. Na sasa imetokea tena hapa Benslimane, Morocco ambako nyota katika usajili mpya wa matajiri wa Chamazi amekataa namba ya jezi iliyoandaliwa kwa ajili yake. Nyota huyo ni Mamadou Samake ambaye alipewa namba…