
Yacouba arudi Bongo kuliamsha tena
NYOTA wa zamani wa Yanga na Ihefu (sasa Singida Black Stars), Yacouba Songne amerejea Bongo akisaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Tabora United inayoshiriki Ligi Kuu Bara kwa msimu wa pili sasa. Yacouba amejiunga na Tabora, akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na AS Arta/Solar7 ya Djibouti aliyojiunga nayo akitokea Ihefu na kufanikiwa kutwaa…