
Yanga, Nabi kazi ipo Sauzi
YANGA itacheza mchezo wa mwisho wa kirafiki wa kimataifa leo Jumapili ambao ni wa kuwania Kombe la Toyota ikikutana na wenyeji, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, lakini ikitarajiwa bato ya aina yake kwani inakikutanisha kikosi hicho dhidi ya kocha aliyekirejesha katika mstari misimu mitatu iliyopita. Kaizer Chiefs maarufu kama Amakhosi, inafundishwa na Nasreddine Nabi aliyeipa…