
Wawili Simba watimkia Yanga | Mwanaspoti
YANGA Princess imekamilisha usajili wa wachezaji wawili kutoka Simba Queens wakiwa ni kiungo Ritticia Nabbosa na beki wa kushoto Wincate Kaari. Timu hiyo ilimaliza nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara (WPL) msimu uliopita na kwenye mechi 18 ilishinda 12, sare tatu na kupoteza tatu ikikusanya pointi 39. Mwanaspoti liliripoti mwezi…