
Paris yanga’a wakati wa ufunguzi wa michezo ya Olimpiki – DW – 27.07.2024
Hafla hiyo ya ufunguzi imetoa fursa adimu ya kuuonyesha utamaduni wa Ufaransa, fasheni na muziki japo ilikumbwa na kiwingu cha mvua. Kwa mara ya kwanza mwaka huu, hafla ya ufunguzi haikufanyika ndani ya uwanja kama ilivyozoelekea bali kwenye Mto Seine katikati ya mji mkuu Paris. Wanamuziki tajika duniani Celine Dion, Lady Gaga, nyota wa muziki…