Dili la KibuDenis bado kidogo

MABOSI wa Simba kwa sasa wanasikilizia tu dili la nyota wa timu hiyo, Kibu Denis aliyepo Norway kwa sasa akimalizana na klabu ya Kristiansund BK kama ambavyo Mwanaspoti lilivyoripoti awali taarifa kuwa ametoroka ni zuga tu ya viongozi wa Wekundu hao kwani walikuwa wanajua kila kitu. Taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya klabu hiyo ni, mabosi…

Read More

Ligi Kigoma kuamsha Agosti 8

LIGI za Kikapu kwa mikoa mbalimbali zinazidi kushika kazi kwa sasa, huku ile ya Mkoa wa Kigoma ikitarajiwa kufanyika Agosti 8. Katibu Mkuu wa Chama cha Kikapu Kigoma, Aq Qassim Anasi, amesema kwa upande wao wamepanga ligi hiyo ianze Agosti 8 na maandalizi yanaendelea vizuri hadi sasa. Akizungumza na Mwanaspoti kwa simu kutoka Kigoma, Anasi…

Read More

Pacome aiwahi Kaizer Chiefs Sauzi

KAMA ambavyo awali Mwanaspotui liliwajulisha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua alipewa siku tano kushughulikia pasipoti yake kabla ya kuungana na wenzake kambini Afrika Kusini, taarifa zikufikie nyota huyo tayari ameshatua huko na keshokutwa huenda akacheza dhidi ya Kaizer Chiefs. Awali Mwanaspoti lilipata taarifa, huenda Pacome angekuja moja kwa moja jijini Dar es Salaam kutoka…

Read More

Kaeni kwa kutulia sasa! | Mwanaspoti

WAKATI timu za Ligi Kuu Bara zikiendelea kujifua kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, wawakilishi wanne wa Tanzania katika michuano ya kimataifa Simba, Yanga, Azam na Coastal Union zinajiandaa kufunga hesabu za maandalizi kabla ya kuanza mchakamchaka wa mashindano ya msimu mpya. Yanga iliyopo Afrika Kusini na Azam iliyoweka kambi Morocco zitashiriki Ligi ya…

Read More

Tausi Royals, Pazi Queens tishio

WAKATI Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikizidi  kushika kasi, kwa upande wa timu ngeni katika ligi hiyo, Tausi Royals na Pazi Queens zinaendelea kuwa tishio kwa wakongwe zinazoshiriki  ligi hiyo. Vitisho vya timu hizo inatokana na ushindi wa michezo miwili mfululizo waliopata katika mzunguko wa pili.  Katika mchezo wa kwanza,…

Read More

KISA UTAMU WA LIGI… Walisepa, wakarudi tena Ligi Kuu Bara

LIGI Kuu Bara inazidi kukua mwaka hadi mwaka na kuendelea kuwakutanisha mastaa kutoka mataifa mbalimbali ambao wanakuja kuongeza thamani ya ligi na kutoa changamoto kwa wazawa. Dirisha la usajili likiwa bado halijafungwa timu mbalimbali za Ligi Kuu Bara, Championship na madaraja mengine zinaendelea kusajili, lakini wakongwe Simba na Yanga ndizo zinazozungumzwa sana kutokana na sajili…

Read More

Ukifunga mbele ya Mbegu, we shujaa!

HUKO kwenye Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) mambo ni moto na unaambiwa eti ukifunga mbele ya mchezaji Haji Mbegu wa Dar City au Haji Mbegu wa UDSM Outsiders basi wewe lazima   utaonekana  ni shujaa katika mchezo wa mechi husika kutokana na umahiri wao wa kukaba. Mbegu anayecheza namba nne (power…

Read More

Maana ya ‘SANDA’ iliyopo jezi ya Simba SC

SABABU ya jezi za Simba kuandikwa neno Sanda zimeelezwa,wahusika wamewatoa  hofu waliozitafsiri vinginevyo, kutambua kwamba ni ubunifu walioamua kuja nao msimu ujao. Alipotafutwa Yusuph Yenga, ambaye ni msemaji wa Sandaland alisema walikaa chini na kuona msimu ujao waje kivingine na jina la Sanda ni la Sandaland mwenyewe, hivyo limefupishwa kwenye jezi. “Kuna mchakato mrefu unazingatiwa…

Read More

Dybala, Lukaku namba zilivyopishana | Mwanaspoti

ROMA, ITALIA: Supastaa Paulo Dybala, nyota wa kimataifa wa Argentina na Roma ya Italia anaujua mpira. Ndiye straika tegemeo katika kikosi cha kwanza cha Wataliano hao, ingawa linapokuja suala la timu ya taifa anasugua sana benchi. Kwa Roma, mastaa kibao wanakaa benchi wakisikilizia mwamba amalize kazi yake uwanjani ndipo waingie au anapokuwa majeruhi. Na hata…

Read More

Mastaa kikapu Ufaransa na marufuku ya hijabu Olimpiki

PARIS, UFARANSA: Huko Paris ambapo hali ya hewa siyo joto sana, Diaba Konate anaonyesha msisimko huku akiwa na tabasamu pana akielekea mahali alipokubaliana kukutana na mwandishi wa BBC karibu na Louvre. Nyota huyo amevaa jezi yenye nambari 23. Bila shaka hivyo ndivyo ilivyo – mpira wa kikapu ni mapenzi yake. Mchezaji anayecheza nafasi ya ‘point…

Read More