Dabo atangaza vita mpya | Mwanaspoti

Azam FC kesho inatarajiwa kushuka tena uwanjani kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Union Touarga ya Morocco, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Youssouph Dabo akisema licha kuendelea kuwepo nchini wakati kikosi hicho kikiwa kambini nchini huko kwa ajili ya maandalizi ya msimu (Pre season), bado haitoathiri programu walizoziandaa akishirikiana na…

Read More

Simba yaipiga bao Yanga kwa kiungo

BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa mchezaji huyo kwa mkataba wa mwaka mmoja. Amina aliwahi kuwa nahodha wa Yanga, iliyomnasa akitokea Msimbazi, kabla ya msimu uliopita kujiunga na JKT Queens. Awali Yanga ilikuwa ya kwanza kukamilisha karibu…

Read More

CAF yairudisha tena Yanga Dar

KAMA ambavyo Mwanaspoti liliwahabarisha wiki iliyopita kwamba, Yanga huenda ikalainisha mambo katika Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Vital’O ya Burundi, ndivyo ilivyo baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuridhia ombi la Warundi kuhamia Azam Complex kucheza mechi za nyumbani za michuano hiyo. Yanga sasa haitalazimika kwenda Burundi, baada ya Vital’O kuomba kuutumia Azam…

Read More

Makambo Jr ala shavu Ujerumani

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Mashujaa FC, Athuman Masumbuko ‘Makambo Jr’ amejiunga rasmi na Klabu ya FCA Darmstadt ya Ujerumani kwa mkataba wa miaka mitatu. Nyota huyo awali ilielezwa amemalizana na Coastal Union ili kuitumikia msimu ujao wa mashindano  ikiwemo Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika, japo baada ya kupata dili hilo akaamua kutua Ujerumani….

Read More

Coastal yamnasa straika Mkenya | Mwanaspoti

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union, ipo hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa straika Mkenya, John Mark Makwata kutoka Kariobangi Sharks inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (KPL). Timu hiyo inayoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, inataka kukamilisha dili hilo baada ya kuvutiwa na mchezaji huyo ambaye msimu uliopita katika Ligi Kuu ya Kenya (KFKPL), alifunga…

Read More

Tepsie Evans, apewa nafasi ya mwisho Azam FC

KIKOSI cha Azam FC kinaendelea kujifua mjini Morocco na kesho Jumamosi kitashuka tena uwanjani kucheza mechi ya pili ya kirafiki ya kimataifa baada ya awali kuifunga Us Yacoub Mansour mabao 3-0. Azam iliyoweka kambi hiyo ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano itacheza mechi kesho saa 2 usiku dhidi ya Union Touarga  kabla ya Jumatatu…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI:Haitopendeza Coastal ikimtimua Ouma

KUNA tetesi Coastal Union inafikiria kuachana na kocha wao wa sasa, Francis Ouma na kisha nafasi yake ichukuliwe na kocha mmojawapo wa timu ya Ligi Kuu. Kufanya vibaya kwa timu hiyo kwenye mashindano ya Kombe la Kagame yaliyomalizika wiki iliyopita kunatajwa kuchangia ushawishi wa uamuzi wa kutaka kumtimua. Hata hivyo, inaripotiwa amepishana na vigogo baadhi…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Saluti nyingi kwa Maxi Nzengeli

SIKU moja kwenye ukurasa huu wa akili za kijiweni niliandika kitu kuhusu Maxi Mpia Nzengeli jinsi nilivyomuona kama usajili muhimu kwa Yanga tangu ilipomnasa. Muonekano wake akiwa hajavaa jezi unaweza kukufanya ukamdharau na kudhani hana uwezo na kipaji cha soka lakini anapokuwa uwanjani huwa ni mwanadamu mwingine. Ni mchezaji ambaye ana nishati ya kutosha inayomfanya…

Read More