
MAAJABU, San Marino na bata la kufurahi kubaki mkiani
WIKI iliyopita wakazi wa San Marino, nchi ndogo iliyozungukwa na milima kaskazini mwa Italia walifanya tamasha la kufurahia kupanda daraja katika viwango vya Shirikisho la Kimataifa la Kandanda (Fifa). Nchi hiyo yenye ukubwa wa kilomita 6.2 za mraba ikiwa na watu 34,000 ambayo siku zote huwa na watalii wasiopungua 10,000 ilipanda daraja kutoka nafasi ya…