
WAKALA WA MPANZU AWAPA MAKAVU SIMBA ‘SIWEZI KUWAPA MCHEZAJI’ – MWANAHARAKATI MZALENDO
“Tofauti ya Simba na Yanga ni kuwa Yanga wanapotaka Mchezaji unawasiliana na Mtu mmoja tu ila Simba watu ni wengi sana kwa dili moja, mara Salim, mara Mulamu mara Magori na pia walikuja kwa kuchelewa sana kuhusu kumtaka Mchezaji wangu Ellie Mpanzu, hata hivyo hawezi kwenda Simba anaenda Ulaya, lakini nilishawaambia Simba ipo siku…