Geay awatoa hofu Watanzania kuhusu Olimpiki

MUDA mfupi baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay huenda asikimbie katika mashindano ya Olimpiki yanayotarajiwa kuanza wiki hii nchini Ufaransa, mwenyewe ameibuka na kuwatoa hofu Watanzania. Taarifa za awali zilizonukuliwa na Mwanaspoti kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) zilidai kwamba mwanariadha huyo ni…

Read More

Kibu atimka, Simba yatoa msimamo

Wakati taarifa zikienea  kiungo mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis amekimbilia Norway, uongozi wa klabu hiyo umesema utamchukulia hatua za kinidhamu ikidai ni mtoro. Kauli ya Simba inakuja baada ya kuibuka kwa taarifa Kibu ametimkia Norway kimya kimya bila kutoa taarifa kwa klabu yake. Simba imezinasa nyaraka mbalimbali za Kibu zikionyesha kiungo huyo ametimka nchini na…

Read More

RT yaongeza nguvu kambi ya Taifa ya Olimpiki

Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limekabidhi vifaa vya michezo katika kambi ya timu ya Taifa ya riadha inayojiandaa kushiriki Michezo ya Olimpiki kama  sehemu ya kukiongezea nguvu kikosi hicho. Kikosi hicho kinaundwa na wachezaji wanne wa marathoni ya mbio ndefu za kilomita 42 na wamebeba jukumu la kwenda kuandika historia ya kuleta tena medali baada…

Read More

Simba yatoa msimamo ishu ya Kibu Denis

Uongozi wa Simba umepanga kumchukulia hatua za kinidhamu kiungo wake mshambuliaji, Kibu Denis kutokana na kushindwa kuwasili kwenye kambi ya timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na michuano mingine itakayoshiriki msimu ujao na badala yake amekuwa akitoa sababu tofauti kila siku. Simba kwa sasa iko jijini Ismailia, Misri…

Read More

Shakhtar Donetsk yampotezea Novatus | Mwanaspoti

MIAMBA ya soka la Ukraine, FC Shakhtar Donetsk imeachana na mpango wa kumsajili jumla nyota wa kimataifa kutoka Tanzania, Novatus Dismas aliyekuwa akiichezea timu hiyo kwa mkopo akitokea SV Zulte Waregem ya Ubelgiji. Novatus ambaye mkataba wake na SV Zulte Waregem utatamatika Juni 30, 2025 ameonekana kutokuwa kwenye mipango ya kocha Marino Pusic licha ya…

Read More

KYENGA:Nilimgomea kocha kwenda kwa mganga ili nishinde

KUTOKA Nyanda za Juu Kusini katika Mkoa wa Mbeya na mkoa mpya wa Songwe, jina la Alto Kyenga katika mchezo wa ngumi za kulipwa lina heshima na ukubwa wake kutokana na kuutendea haki mchezo huo licha ya figisu alizowahi kukutana nazo. Lakini, huenda kwa wale mashabiki wa mchezo huo kupitia runinga wakashindwa kumtambua kabisa bondia…

Read More

Mazoezi Simba yamtisha kipa | Mwanaspoti

KIPA wa Simba, Hussein Abel amesema kwa aina ya mazoezi yanayofanywa na kikosi hicho yanampa taswira ya jinsi ambavyo watakuwa na ushindani dhidi ya wapinzani wao. Akizungumza baada ya ushindi katika mechi ya kirafiki dhidi ya El Qanah ya Misri mjini Ismaili kwa mabao 3-0, Abel amesema: “Ushindani unaanzia mazoezini kila mchezaji anatamani kuona kocha…

Read More