Geay hatihati Olimpiki, daktari afunguka

Kuna hatihati kwa nyota wa Tanzania wa mbio za marathoni, Gabriel Geay kushindwa kuchuana kwenye Olimpiki msimu huu kutokana na kuwa majeruhi. Hata hivyo, daktari wa timu ya Tanzania kwenye michezo hiyo, Eliasa Mkongo amesema nyota huyo atasafiri na timu kwenda Paris, Ufaransa inakofanyika michezo hiyo itakayofunguliwa Julai 26. Amesema, Geay ambaye ana maumivu ya…

Read More

Ninja kutimkia Lupopo | Mwanaspoti

BEKI Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amemalizana na FC Lupopo ya DR Congo ambapo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo msimu ujao. Ninja ameiambia Mwanaspoti kuwa sababu kubwa ya kusaini FC Lupopo ni kuona fursa katika timu hiyo kucheza michuano ya kimataifa ambayo itamfanya aendelee kuonekana katika mataifa mbalimbali. Timu itashiriki Ligi ya Mabingwa…

Read More

Hawa hapa mastaa 10 wa kutazamwa zaidi Olimpiki 2024

MICHEZO ya Olimpiki ya Paris 2024 inatazamiwa kuanza Ijumaa hii huko Ufaransa kwa kushirikisha wachezaji 10,500 kutoka mataifa 206, Tanzania ikiwa ni miongoni mwao. Katika mashindano hayo, kutakuwa na michezo 32 na Tanzania itashiriki katika michezo mitatu ya riadha, kuogelea na judo. Garbriel Geay, Jackline Sakilu, Alphonce Simbu na Magdalena Shauri watashiriki marathoni, Collins Saliboko,…

Read More

Yanga yamalizana na kiungo Dodoma

KUELEKEA msimu ujao Yanga Princess imekamilisha usajili wa kiungo Agness Pallangyo kutoka Fountain Gate Princess. Inaelezwa Yanga baada ya kukwama kwenye dili la kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal ikamuibukia Agnes ambaye amemaliza mkataba wake kikosini. Chanzo kimeiambia Mwanaspoti kuwa mchezaji huyo amepewa mkataba wa miaka miwili kukitumikia kikosi hicho. “Ni mchezaji mzuri na kwa…

Read More

Aliyeipeleka Azam FC colombia ana sehemu yake mbinguni

Ilianzia dirisha dogo la msimu uliopita pale Azam FC walipomtambulisha Franklin Navarro, kiungo wa ushambuliaji kutoka Colombia. Navarro hakutambulishwa tu kwa jezi bali mechi ya Kombe la Mapinduzi pale alipoingia dakika za mwisho dhidi ya Chipukizi FC ya Zanzibar. Alipogusa mpira wa kwanza tu kila mtu uwanjani na hata aliyeangalia mechi ile kwenye runinga, alijisemea…

Read More

UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Mmejipanga na urejeo wa Manara?

PAMOJA na hatua nyingi za maendeleo zilizopigwa kwenye soka kama taifa, lakini bado mpira wetu unanogeshwa na porojo nyingi. Bado mpira unachezwa sana mdomoni kuliko hata uwanjani. Mpira wetu una siasa nyingi. Haji Manara ni msemaji wa Klabu ya Yanga ambaye alikuwa kifungoni. Haji ni muasisi wa usemaji wa majigambo.  Amepata umaarufu mkubwa kwa sababu…

Read More

Makampuni ya Kubeti Tanzania: Nne Bora za Mwaka Huu

Je, unatafuta kampuni za kubeti Tanzania ili kujisajili? Usiangalie pengine kwa kuwa sisi tunaweza kukusaidia kufanya chaguzi sahihi. Leo hii, kuna kampuni bora za kubeti ambazo hufanya muda wako wa kubeti na kucheza michezo mbalimbali ya kasino wenye raha sana.  Pia, makampuni ya kubeti Tanzania huja na faida tofauti kutegemea na kile mchezaji anachotafuta. Utakutana…

Read More