
Mzamiru Yassin hana presha kabisa Simba SC!
KIUNGO mkabaji wa Simba, Mzamiru Yassin amesema hana presha yoyote ndani ya timu hiyo licha ya kusajiliwa mashine kadhaa mpya zinzocheza eneo lake, kwa vile anaamini kila mchezaji wa kikosi hicho kinachoendelea kujifua jiji la Ismailia, Misri ana nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza. Simba imeongeza mashine kadhaa mpya katika eneo hilo baada ya kuondoka…