
Azam FC yashusha Mtunisia | Mwanaspoti
HUENDA Azam FC ikimtambulisha mshambuliaji, Baraket Hmidi Agosti 15 na anatarajia kuingia nchini muda wowote kwa ajili ya kukamilisha taratibu za vipimo ili aweze kuungana na wenzake waliopo kambini Arusha, kujiandaa na msimu mpya. Chanzo cha ndani kilisema Azam imemsajili Hmidi kutoka klabu ya CS Sfaxien na ilielezwa huenda akawa wa mwisho na baada ya…