DULLA MAKABILA, LINEX WAPAMBA TAMASHA LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    Mkali wa Singeli Abdallah Ahmed maarufu Dulla Makabila akiwa jukwaani kutumbuiza katika tamasha hilo la burudani kuelekea uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Kigoma.  Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva na Singeli,  Sande Mangu almaarufu Linex na Abdallah Ahmed maarufu Dulla Makabila leo Julai 18,2024  wameingiza shangwe kwa wakazi wa…

Read More

Gamondi awajibu wanaosema amesajili ‘Galacticos’

KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amekiri kusikia kelele nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa soka hasa wale wa Msimbazi wakiponda usajili uliofanywa na klabu hiyo, wakidai wamesajili wazee na kuamua kuwajibu kwa kusema wasubiri msimu uanze ndio watajua hawajui. Gamondi amesema anashukuru wataufungua msimu kwa kuvaana na Simba na kwa upande wake haangalii matokeo…

Read More

Waziri DK Ndumbaro ajitosa sakata la Yanga

SIKU moja tu baada ya mabosi wa Yanga kutoa tamko juu ya hukumu ya kesi iliyofunguliwa na wanachama wa klabu hiyo kulikataa Baraza la Wadhamini na kuweka rehani nafasi za viongozi waliopo madarakani, Waziri mwenye dhamana na michezo, Dk Damas Ndumbaro ameamua kujitosa katika sakata hilo. Dk Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na…

Read More

Mwanza waliamsha mapema Simba Day

WANACHAMA wa Simba Mkoa wa Mwanza wameanza mapema kujipanga kwa safari ya kwenda jijini Dar es Salaam kuiunga mkono timu yao katika tamasha la Simba Day litakalofanyika Agosti 3, mwaka huu. Katika kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri, viongozi wa klabu hiyo mkoani hapa kwa nyakati tofauti walikutana na viongozi wa matawi mwishoni mwa wiki iliyopita na…

Read More

Mnigeria atua Fountain Gate | Mwanaspoti

Fountain Gate imekamilisha uhamisho wa aliyekuwa kipa wa Tabora United raia wa Nigeria, John Noble kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kipa huyo aliyejiunga na kikosi hicho Julai 31, mwaka jana akitokea Klabu ya Enyimba ya kwao Nigeria, amemaliza mkataba wake na Tabora United huku kukiwa hakuna mazungumzo mapya na kuifanya Fountain Gate kutumia fursa ya…

Read More