
Mauya aukubali mziki wa Singida BS
KIUNGO mkabaji wa Singida Black Stars, Zawadi Mauya amesema kwa usajili uliofanywa na timu hiyo, anaamini ushindani utakuwa mgumu kuanzia kwa wachezaji wenyewe hadi timu pinzani. Mauya amejiunga na timu hiyo, akitokea Yanga ambayo aliitumikia kwa misimu minne, alisema maisha ya soka ni popote, kikubwa anajipanga kuhakikisha anakuwa msaada katika majukumu yake mapya. “Utofauti ni…