
AKILI ZA KIJIWENI: Alichokifanya Benchikha sio cha ajabu
WACHEZAJI wawili walioondoka Simba katika dirisha hili la usajili, wamekula maisha huko Algeria baada ya kujiunga na JS Kabylie inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo. Tunawazungumzia viungo Sadio Kanoute na Babacar Sarr ambao wamemwaga wino wa kuitumikia JS Kabylie msimu ujao, wakiwa wachezaji huru kutokana na sababu tofauti. Kanoute ameondoka akiwa huru kwani mkataba wake ulikuwa…