
Greenwood mambo freshi Marseille | Mwanaspoti
MARSEILLE, UFARANSA:KLABU ya Marseille imefikia makubaliano na Mason Greenwood kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji huyo kutoka kwa miamba ya Ligi Kuu England, Manchester United. Klabu hizo mbili zilishafikia makubaliano ya ada ya awali ya uhamisho ya Pauni 27 milioni pamoja na Pauni 3.2 milioni za ziada kwa ajili ya kumsajili Greenwood, lakini zilihitaji pia ridhaa…