
SPOTI DOKTA: Majeraha ya Messi yapo hivi
USIKU wa Jumapili katika mchezo wa fainali ya mashindano ya Copa Amerika 2024 kwa mara nyingine tena Argentina ilifanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kuifunga nchi ya Colombia bao 1-0. Mashindano hayo yaliyofanyika Marekani na fainali hiyo iliyochezwa jijini Miami kwenye Uwanja wa Hard Rock ililazimika kuongezwa dakika 30 za ziada mara baada ya kutoka…