
Wanamichezo saba mguu sawa Olimpiki
KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imesema msafara wa Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki msimu huu utaondoka nchini kwa mafungu. Kundi la kwanza litaondoka Julai 22 likiwa na mkuu wa msafara, Henry Tandau. Imesema, kundi la pili litaondoka Juali 23 na kundi la mwisho ni la wanariadha watakaoondoka Agosti 7 tayari kwa michezo hiyo itakayofunguliwa Julai…