Makambo apewa mmoja Coastal Union

COASTAL Union imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Mashujaa, Athuman Masumbuko ‘Makambo’ kwa mkataba wa mwaka mmoja. Mshambuliaji huyo msimu wa 2023 aliibuka na tuzo ya mfungaji bora wa mashindano ya Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 akiweka kambani mabao saba, Mtibwa Sugar ilipoibuka mabingwa. Awali, Geita Gold iliyoshuka daraja msimu uliopita ilikuwa ya kwanza…

Read More

Pamba Jiji yachomoa beki Championship 

BEKI wa kulia wa Pamba Jiji, Yunus Lema amesema kucheza Ligi Kuu kwa mara ya kwanza ni ndoto ya muda mrefu iliyotimia, huku akiamini imemfungulia njia ya kufanya vizuri na kucheza soka la kulipwa kimataifa. Lema amesajiliwa msimu huu na Pamba akitokea Mbuni FC ya Arusha inayoshiriki Championship aliyodumu nayo kwa miaka mitano, huku kiwango…

Read More

Wakongwe Simba waanza kujipata | Mwanaspoti

MASTAA wa kikosi cha Simba wamesema wana kila sababu ya kufanya makubwa msimu ujao kutokana na viongozi, benchi la ufundi kufanya kile kinachowapa mwanga wa kuhakikisha wanakuwa bora. Simba ipo nchini Misri kujiweka tayari kwaajili ya msimu mpya huku mastaa hao wakiweka wazi kuwa msingi ni nidhamu na ushirikiano ili kufikia malengo yao 2024/25. Wakizungumza…

Read More

Sintofahamu Manula akibaki Dar timu ikiwa Misri

SINTOFAHAMU inaendelea kwa kipa wa Simba, Aishi Manula aliyekuwa anadaiwa angejiunga na Azam FC iliyoweka kambi Morocco, lakini ajabu ni kwamba bado yupo jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema haitaki kumtoa Manula kwenda Azam kwa mkopo isipokuwa inataka kumuuza, jambo linaloonekana ni gumu kufanyika. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo amesema…

Read More

Onyango mambo freshi akitua Dodoma Jiji

BEKI Mkenya, Joash Onyango msimu ujao atakuwa sehemu ya kikosi cha Dodoma Jiji baada ya usajili wake kukamilika kuichezea timu hiyo kwa mkopo wa miezi sita. Onyango kwa mara ya kwanza kucheza Ligi Kuu Bara ilikuwa msimu wa 2020/21 ambapo alijiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya na baada ya kuachana naye alijiunga na…

Read More

PUMZI YA MOTO:  Simba, Aishi tatizo ni hili!

KIKOSI cha Simba kipo Misri kikijiandaa na msimu mpya wa 2024/25 bila kuwa na kipa namba moja kwa misimu takriban sita kabla ya ule uliopita, Aishi Manula. Kipa huyo ameachwa nyumbani kwa kile kinachodaiwa kwamba hayupo katika mipango ya timu, lakini mwenyewe inadaiwa kwamba hajaambiwa kitu. Manula anadaiwa kwamba anatamani kuondoka Msimbazi, lakini bado ana…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Ambokile anasa kwa KenGold

STRAIKA aliyemaliza mkataba ndani ya kikosi cha Mbeya City inayoshiriki Ligi ya Champioship, Eliud Ambokile, yupo kwenye hatua za mwisho kujiunga na timu ya KenGold. KenGold iliyopanda daraja kushiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao inaendelea kukisuka kikosi chake huku ikitua kwa Ambokile ikiwa na matumaini kwamba atakuwa msaada eneo la ushambuliaji kutokana na uzoefu alionao….

Read More

Hii sasa sifa…. Yanga yashusha mwingine pale kati

HAWAJAMALIZA. Hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya Yanga kuwa kwenye hatua za mwisho kumalizana na aliyekuwa beki wa kati wa Singida Fountain Gate, Abdulmajid Mangalo ili kuongeza nguvu eneo la ulinzi na kuchukua nafasi ya Gift Fred. Yanga eneo hilo la beki wa kati linaundwa na nahodha, Bakari Mwamnyeto ambaye ameongezwa mkataba wa kuendelea kubaki…

Read More

Youssouph Dabo afichua jambo Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amefunguka sababu za kumtema aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, Daniel Amoah kuwa ni kupisha damu changa huku akikiri kuheshimu makubwa aliyoyafanya ndani ya timu hiyo. Akizungumza na Mwanaspoti, muda mchache kabla ya kuanza safari kuelekea Morocco ambapo wameenda kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao, Dabo alisema yeye…

Read More

Nswanzurimo out, Kitambi in Singida BS

UONGOZI wa Singida Black Stars, umefanya mabadiliko katika benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Patrick Aussems raia wa Ubelgiji kwa kumuongeza Denis Kitambi. Awali benchi hilo lilikuwa na Aussems ambaye ni kocha mkuu akisaidiwa na Ramadhan Nswanzurimo raia wa Burundi ambaye ameondolewa na nafasi yake imezibwa na Kitambi. Taarifa kutoka ndani ya Klabu…

Read More