
Maandalizi ya Olimpiki… Kambi ya Riadha usipime, yatafuna Sh23 milioni
MASHINDANO ya Olimpiki yatafanyika mwezi huu Paris Ufaransa huku Tanzania ikitarajiwa kuwakilishwa na wachezaji Sita wawili wakiwa ni wa mchezo wa kuongelea na wanne ni Riadha ambapo nyota hao watakuwa na kibarua kizito kuhakikisha wanafanya kweli na kurudi na medali. Nyota hao kwa upande wa riadha ni Alphonce Simbu,Gabriel Geay,Jackline Sakilu na Magdalena Shauri ambao…