
Nonga: Huyu Guede anajua sana!
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ni kocha wa viungo wa Mbeya City, Paul Nonga amemtaja Joseph Guede kuwa ni mchezaji bora kutokana na kuwa vitu vitatu muhimu kwa wachezaji wanaocheza eneo hilo la ushambuliaji. Guede aliletwa na Yanga ameitumikia timu hiyo kwa miezi sita na baadaye kupewa mkono wa kwaheri na sasa…