
Sh2 bilioni zailiza Mbeya City
MAUMIVU ya kushuka daraja kwa Mbeya yameanza kuuma baada ya uongozi kukiri kupata hasara ya Sh1 bilioni kwa mwaka, huku ikiapa kuwa msimu ujao wa 2024/25 ndio mwisho wa kucheza Championship. City ilishuka daraja msimu wa 2022/23, ambapo msimu uliopita ilishindwa kupanda tena ilipomaliza katika nafasi ya sita kwa pointi 37 na sasa imeanza kujitafuta…