
AKILI ZA KIJIWENI: Azam imeupiga mwingi kwa Kipre JR
AZAM FC imefanya uamuzi mgumu wa kumuuza winga wake Kipre Junior kwenda MC Alger ya Algeria kwa dau linalokadiriwa kufikia Sh700 milioni. Uamuzi wa kumuuza Kipre Junior umefanyika siku chache baada ya timu hiyo kumruhusu mshambuliaji Prince Dube aondoke baada ya mchezaji huyo kulipa kiasi kama hicho ambacho Azam imekipata kwa kumuuza Kipre. Kwa maana…